- Eunice Njeri ni mmoja kati ya wanamziki wa nyimbo za injili walio na talanta kubwa
- Mwimbaji huyo alikuwa ameolewa na rapa wa Kenya anayeishi Marekani na ambaye ni mchungaji
-Lakini alimtaliki masaa kadhaa baada ya harusi. Izo hata hivyo ameendelea na maisha yake kama ambavyo talaka si kitu, na ‘kipenzi’ chake kipya
Habari Nyingine: Picha ya aliyekuwa mtangazaji Citizen TV, Julie Gichuru, KITANDANI yawaacha mashabiki vinywa wazi
Ulingo wa uimbaji wa nyimbo za injili umekumbwa na mambo mengi ya kuvunja moyo.
Kutoka wimbo wa Willy Paul wa ‘Tiga Wana’ hadi kwa changamoto zilizompata Eunice Njeri katika ndoa yake, ulingo huo umeona mengi.
Mwimbaji huyo wa kibao ’Mwema’ alishtua mashabiki wake na Wakenya baada ya kutangaza ndoa yake kwa Mchungaji Ado Bukasa kwa jina lingine Izo.
Habari kwamba Eunice Njeri alikuwa ameondoka katika ndoa yake masaa kadhaa baada ya harusi ilishtua watu wengi.
Habari Nyingine: Picha KALI za Rais Uhuru Kenyatta akiwa Somalia na wanajeshi wa KDF
Eunice alikatiza ndoa yao ghafla na kutangaza katika mitandao ya kijamii. Mwimbaji huyo alimkashifu Izo kwa mambo mengi.
Izo alijitetea katika madai hayo katika maelezo yaliyompaka tope Eunice Njeri. Lakini sio wengi walimuamini katika majaribio yake ya kusafisha jina lake.
Pata HAPA habari za TUKO.co.ke punde tu zinapochapishwa!
Hata hivyo, ameendelea na maisha yake ikiwa tutazingatia habari za hivi punde alizoweka katika mtandao wa kijamii.
Huenda nguvu zake zote amezielekezea kwa ‘mpenzi wake’ mpya ambaye amemueleza kwa maneno matamu sana.
Habari Nyingine: Wakenya WAKASIRISHWA na bwanake Size 8 baada ya kuonekana na mwanamke mwingine (picha)
Izo alinunua gari jipya analoliita ‘Baby’. Aliweka picha za ‘Baby mtandaoni na huenda ukamuonea wivu kwa sababu ‘Baby’ anapendeza kweli kweli.
“I love my baby! Never thought that one day I’d be riding this. #GlorytoGod,” Izo alisema kuhusiana na gari hilo.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaIF3gJRmmKWhqZq4tsPAZqSupZWssm6x1KegnJ1do7emvshmmKmZpJZ6rrzEp7GiZZ2lxqJ5z6KaoZlencGuuA%3D%3D