- Kuna mkoba mpya katika soko unaogharimu KSh 38 Milioni
- Mkoba huo unadaiwa kununuliwa nchini Hong Kong
Habari Nyingine: Mtangazaji wa Citizen TV afukuzwa kama mbwa
Ukipata KSh38 Milioni utazitumia kufanya nini? Ni wazi kuwa utazitumia kujenga majumba makubwa au kununua gari la kifahari.
Lakini kwa huyu mnunuzi, aliamua kunua kipochi cha hiyo beu ghali.
" Kipochi hiki kilikuwa kinagharimu KSh 19.3 milioni kabla ya kupanda bei hadi KSh 25.8 milioni, na sasa imevunja rekodi," Alisema Christies.
Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE!
Habari Nyingine: Alinipachika mimba na kunitupa, MPENZI wa zamani wa Bahati asema
Kipochi hicho aina ya Birkin kimeundwa kwa kutumia ngozi ya Mamba na almasi.
Aina ya kwanza ya kipochi hicho ilindwa mnamo mwaka wa 1984 na Hermes kutoka Ufaransa na kupewa jina la Jane Birkin, Mwigereza.
Jionee mifuko ghali sana ulimwenguni kwenye hii video;
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaX91g5FmoaKnnpqybrnKqJmaZaeWeq%2BzzrOgZrGRYrqiucGaZK6mkaS0qa3RoqSuZZuotW5%2Fl2akoqSZpLuqec%2BimqGZXp3Brrg%3D