Picha zitakazo mkumbusha Kidero kuhusu aliyekuwa waziri wa usalama Nkaisserry

-Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaiserry aliaga dunia usiku wa kuamkia Jumamosi Julai 8 -Marehemu alikuwa amehudhuria sherehe za kuadimisha siku kuu ya saba saba katika bustani mwa Uhuru Park na viongozi wengine serikalini akiwemo rais, naibu wake na gavana wa Nirobi Evans Kidero

-Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaiserry aliaga dunia usiku wa kuamkia Jumamosi Julai 8

-Marehemu alikuwa amehudhuria sherehe za kuadimisha siku kuu ya saba saba katika bustani mwa Uhuru Park na viongozi wengine serikalini akiwemo rais, naibu wake na gavana wa Nirobi Evans Kidero

- Hata hivyo kuna picha kadhaa ambazo zitamkumbusha sana Kidero kuhusu marehemu Nkaissery

Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani,Joseph Nkaiseery aliaga dunia ghafla Jumamosi Julai katika hospitali ya Karen.

Habari Nyingine: Picha ya mtangazaji maarufu wa runinga akiwa katika shule ya upili itakuvunja mbavu

Habari Nyingine: Zaida ya wanasiasa 10 wa Jubilee wahamia NASA

Nkaissery alikuwa amehudhuria sherehe za kuadimisha siku kuu ya saba saba katika bustani mwa Uhuru park ambapo alionekana kuwa mwenye furaha kuliko siku zingine.

Kifo chake kiliwashtua wakenya wengi hasa viongozi waliokuwa naye kwenye sherehe hiyo.

Kuna picha ambazo zimeibuka mitandaoni ambazo ziliwaonyesha gavana wa Nairobi Evans Kidero na marehemu wakiwa na wakati mzuri katika sherehe hizo.

Picha hii bila shaka itamkumbusha Kidero kuhusu marehemu Nkaissery.

Kwenye picha nyingine,Kidero na Nkaiserry walionekana wakiwa wameketi karibu kwenye mkutano huo

" Nimehuzunishwa na kifo cha Joseph Nkaissery, ilikuwa ni jana tu ambapo tulikuwa naye katika sherehe za saba saba katika bustani mwa Uhuru Park. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi," Kidero alisema akiwa na huzuni mwingi.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYNxf5Nmp6KbmJZ6u7XTmqKasp9iuqzBzJusrKCRYriqsMSrpmajpZ3CtMGMmqOisZWgwritjLCYs6Ginnq4rYyuqpqkkaKubrrKmqCsq5Wnv2%2B006aj

 Share!