Mkenya msagaji afunga pingu za maisha na kipusa wa Amerika kwa njia ya kustaajabisha

-Kipusa mmoja raia wa Kenya alifunga pingu za maisha kwa sherehe ya harusi ya aina yake -Wanandoa hao, Manuella Mumbi na Lisa Webb Clay hatimaye waliuweka uhusiano wao rasmi Msagaji raia wa Kenya, Manuella Mumbi maarufu kama Manuaella Royale alifunga pingu za maisha na mpenziwe Lisa Webb Clay kwa njia ya aina yake Jumamosi, Februari

-Kipusa mmoja raia wa Kenya alifunga pingu za maisha kwa sherehe ya harusi ya aina yake

-Wanandoa hao, Manuella Mumbi na Lisa Webb Clay hatimaye waliuweka uhusiano wao rasmi

Msagaji raia wa Kenya, Manuella Mumbi maarufu kama Manuaella Royale alifunga pingu za maisha na mpenziwe Lisa Webb Clay kwa njia ya aina yake Jumamosi, Februari 17.

Mumbi aliyezaliwa na kulelewa nchini Kenya alifunga ndoa na Lisa nchini Amerika bila kuwepo yeyote wa kushuhudia

Habari Nyingine:Jeff Koinange ashindwa kujizuia baada ya kudaiwa kumpachika mimba mtangazaji wa Citizen TV

Jarida la TUKO.co.ke limegundua kuwa Mumbi ni mwanabishara ambaye aliishi katika mtaa wa Kahawa, Nairobi kabla kuhamia Amerika.

Hizi ni baadhi ya picha zao zilizoonwa na jarida la TUKO.co.ke

Habari Nyingine:Otiendo Amollo awafurahisha wafuasi kwa kuweka mtandaoni picha za nyumba alizojengea wakazi wa eneo lake

Habari Nyingine:Uhuru au Raila? Wanajeshi wamhakikishia Uhuru kuwa yeye ndiye rais kwa njia ya kipekee (picha)

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4N1f5dmpKSdnq6ubrnSmp6aoplirqfBzaCYZqiZo7S2edmaZKaZmai1onnNmmSkoaCqwKJ51ppkmqWVp7asrYykrpplnp%2B2onnYmmSkraOprqK2wJugrKCRY7W1ucs%3D

 Share!