Salamu ya Uhuru na Raila haikuwa maonyesho ya mauzo-Ruto

-Ruto alisifu mkataba kati ya Uhuru na Raila kwa kusema ulilenga amani na maendeleo -Aliwataka wanasiasa wengine kuwaiga Uhuru na Raila -Alisema hayo alipokuwa akizindua ujenzi wa taasisi kuhusu mafunzo ya amani na usalama eneo la Bonde la Ufa

-Ruto alisifu mkataba kati ya Uhuru na Raila kwa kusema ulilenga amani na maendeleo

-Aliwataka wanasiasa wengine kuwaiga Uhuru na Raila

-Alisema hayo alipokuwa akizindua ujenzi wa taasisi kuhusu mafunzo ya amani na usalama eneo la Bonde la Ufa

Naibu wa Rais William Ruto amezungumzia mkataba wa amani kati ya Rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga.

Habari Nyingine: John Allan Namu akiri kudanganya katika uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenziwe

Akizungumza eneo la West Pokot wakati wa kuzindua miradi ya maendeleo Ijumaa, Machi 23, Ruto alisema mkataba wa umoja kati ya Uhuru na Raila haukuwa maigizo ya kisiasa lakini ulilenga amani na maendeleo nchini.

Habari Nyingine: Mwanamke awaacha majirani kinywa wazi kwa kufichua uchi wa mumewe hadharani

Aliwataka viongozi kuiga wawili hao,"Tumekubaliana kama viongozi kuungana na kufanya kazi pamoja kama alivyofanya Rais Kenyatta na Raila Odinga. Tumeungana sio kwa sababu malengo ya kisiasa lakini kwa sababu tunalenga maendeleo na umoja wa Wakenya.”

Habari Nyingine: Mtangazaji wa Citizen TV - Jeff Koinange - ajuta kuuliza maana ya 'lamba lolo'

Alisema hayo alipozindua ujenzi wa taasisi ya mafunzo ya amani na usalama katika mpaka wa Kenya na Uganda ili kukabiliana na hali ya ukosefu wa usalama eneo hilo.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Shule hiyo ya msingi, Katikomor inajengwa katika mpaka wa West Pokot, Trans Nzoia na Uganda na ujenzi wake utagharimu KSh100 milioni.

Habari Nyingine: Wapenzi 2 wafunzwa adabu kwa kuamshiana hisia za mapenzi ndani ya matatu

Inalenga kuzileta jamii zinazopigana kwa sababu ya ardhi na malisho ya mifugo pamoja. Kaunti ya West Pokot iliahidi kutoa KSh 20 milioni kufadhili mradi huo na Ruto aliahidi zingine KSh20 milioni.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Subscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4Z1f5FmqpqkkaLCbsXAZqyhraKqeq%2BtjKuYoqSRYrWitcqurpplnZa8r8XErJ%2BoZamWeq6t1LOmZqqlqbxvtNOmow%3D%3D

 Share!