Kipusa aaibika kwa kunaswa akiwa na sponsa bila kutarajia

Mwanadada huyo aliabiri bodaboda wakiwa na sponsa wake bila kujua kuwa mwendesha boda boda huyo alikuwa shemeji yake Kipusa mmoja kutoka katika eneo la Ngina, Kericho alifedheheka baada ya kugundua kuwa shemeji yake ndiye aliyembeba akiwa na sponsa wake.

Mwanadada huyo aliabiri bodaboda wakiwa na sponsa wake bila kujua kuwa mwendesha boda boda huyo alikuwa shemeji yake

Kipusa mmoja kutoka katika eneo la Ngina, Kericho alifedheheka baada ya kugundua kuwa shemeji yake ndiye aliyembeba akiwa na sponsa wake.

Katika kisa hicho kilichochapishwa katika gazeti la Taifa leo, Kipusa huyo ambaye alikuwa ametoka kustarehe na sponsa wake mwenye mke na watoto aliamua kuabiri boda boda na mume huyo.

Habari Nyingine: Mwendesha bodaboda aaibishwa kwa kuyakodolea macho makalio ya vipusa

Waliabiri pamoja na mwendo ukaanza wa kurudi nyumbani. Walipofika mahali pa kuachana na sponsa, mwendesha pikipiki aliisimamisha piki piki yake na kuondoa helmeti kichwani huku akimuita mwadada huyo kwa jina.

Habari Nyingine: Rais mstaafu Barack Obama kuandaa mkutano na Uhuru, Raila

Mwanadada huyo alishangaa kugundua kuwa mwendesha boda boda aliyewabeba alikuwa shemeji yake.

Alimsihi asimwambie mumewe kuwa alimuona na sponsa akijiteteta kuwa hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kuhusika katika tendo kama hilo na kuahidi kuwa hangerudia tena.

Habari Nyingine: Mwendesha bodaboda aaibishwa kwa kuyakodolea macho makalio ya vipusa

Mwanabodaboda huyo alichukua hela zake na kuenda zake bila kuzungumza.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIJ5gJZmoqKopaiubq3Aopmio5FiuLitjKSsp5mjrK5urcqirpplnpZ6tLzOp6qaZZKeuaJ5yq6rmqqRn7aiesetpKU%3D

 Share!