Mvulana,10, atoweka akiwa na mamake kwenye stendi ya magari Nairobi

- Mvulana huyo anasemekana kutoweka akiwa kwenye steji ya kuabiria magari ya Tea room katikati mwa jiji Jumanne Novemba 20 - Gerald Mwangi alikuwa ameandamana na mamake na kakake wawili ambapo walikuwa wametarajia kusafiri kulelekea Karatina

- Mvulana huyo anasemekana kutoweka akiwa kwenye steji ya kuabiria magari ya Tea room katikati mwa jiji Jumanne Novemba 20

- Gerald Mwangi alikuwa ameandamana na mamake na kakake wawili ambapo walikuwa wametarajia kusafiri kulelekea Karatina

- Mwangi alipotea akiwa amevalia jeans ya rangi ya bluu, flana ya rangi ya kijivi na viatu vekundu

Familia moja jijini Nairobi inamtafuta mwana wao mwenye umri wa miaka 10 aliyetoweka Jumanne Novemba 20.

Habari Nyingine: Mbunge Babu Owino aeleza alivyopoteza ubikira wake, ajuta

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

Gerald Mwangi aliripotiwa kutoweka akiwa mikononi mwa mamake katika stendi ya kuabiria magari ya Tea Room katikati mwa jiji.

Kulingana na mamake mvulana huyo Eunice Mwihaki, mwanawe alipotelea kwenye umati mkubwa wa watu majira ya saa tisa mchana walipokuwa wakienda kuabiri gari za kuelekea Karatina.

Gerald alikuwa amevalia jeans ya rangi ya blue, sweta ya rangi ya kijivi na viatu vekundu.

Habari Nyingine : Historia ya wasomi 2 maarufu 'walioshindwa' kujifunza kuendesha gari

Habari Nyingine: Vyakula 3 kutoka Mombasa vinavyodaiwa kumfanya mtu 'simba' kitandani

Wazazi wake wanasemekana kupiga ripoti katika kituo cha polisi cha Central na cha Kamukunji ila hawajapokea habari zozote kuhusu aliko mwana wao.

Familia sasa inamtaka yeyote ambaye aliye na habari kuhusu aliko mtoto huyo kupiga ripoti katika kituo cha polisi kilichokaribu au unaweza wasiliana na babake kwenye nambari ya simu 0715889246 au kwa nambari hii 0800-22-33-44 (bila malipo).

Habari Nyingine: Visa vya kutisha vya majini wa Mombasa

Aidha, unaweza wasiliana na TUKO.co.ke kupitia nambari ya simu 0715 -738-060.

Read: ENGLISH VERSION

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News

Tazamahabari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdibn9yfZNmpK%2BtnJa7on2PZpitp6eauKJ5wKSgsJldo65uucCmmKSdXaDEprrYnmSsrJWjsap52JpkppmXlr%2Bqec2aoKunkp57qcDMpQ%3D%3D

 Share!