Bei ya petroli imeongozeka kwa KSh 2.67 huku ya dizeli ikiongezeka kwa KSh 2.13 kulingana na ripoti iliotolewa hivi karibuni na tume ya kuthibiti kawi na mafuta, EPRA
Hata hivyo, bei ya mafuta taa ilipunguzwa kwa KSh 0.26.
Kulingana na taarifa ya tume hiyo iliyotolewa Ijumaa, Februari 14, lita moja ya Petroli itauzwa kwa KSh 110.40 mijni Mombasa, KSh 112.87 Nairobi, KSh 112.61 Nakuru na KSh 113.59 mjini Eldoret.
Habari Nyingine: Valentines Day: Ujumbe mtamu wa Mike Sonko kwa wakazi wa Nairobi
Habari Nyingine: Matukio ya kuchekesha ya wanaume walivyojiandaa kuwahepa wapenzi wao siku ya Valentines
Lita moja ya dizeli itauzwa kwa KSh 101.98 mjini Mombasa, KSh 104.45 Nairobi, KSh 105.37 Kisumu, na KSh 105.38 in Eldoret.
Read: ENGLISH VERSION
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjaX12gpRmmZ6hXa6ubrzEramopJlisarGxKWgZrGRpa6vsMBnn62lnA%3D%3D